Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,585
- 3,182
Mm kwangu Wema na diamond... Yaan Hawana hata skendo Moja hawana shetani hawabariki
Mm kwangu wema na diamond... Yaan Hawana hata skendo Moja hawana shetani hawabariki
Mm kwangu Sema na diamond... Yaan Hawana hata skendo Moja hawana shetani hawabariki
nimejaribu kukuelewa nimeshindwaMm kwangu Sema na diamond... Yaan Hawana hata skendo Moja hawana shetani hawabariki
Jipe muda utanielewa tu mkuu...nimejaribu kukuelewa nimeshindwa
teh teh teh pole sana.Huwa sipendi kabisa kushabikia couple. Kuna couple moja nilijidai kuishabikia wamenivua nguo mchana kweupe
Cc Daemusin
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] pole mamdogoHuwa sipendi kabisa kushabikia couple. Kuna couple moja nilijidai kuishabikia wamenivua nguo mchana kweupe
Cc Daemusin
Haha nimekomateh teh teh pole sana.
punguza kiherehere usiwe kama muongozaji msafara wa cairo.
Acha tu mamdogo nimeshapoa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] pole mamdogo
wajinga wale waliamua kutuhadaa mchana kweupe.Haha nimekoma
Haha kwamba haikuwa couple ya kweli?wajinga wale waliamua kutuhadaa mchana kweupe.
couple makalio yangu
naifananishaga na ile ya Carter familyKwangu mimi binafsi ukiniuliza best couple ya mastaa wa bongo nitakuambia Navy Kenzo yani Aika na Nahreel.
View attachment 1142391
Hawa vijana wanajielewa sana they have no drama, maisha yao ya kimapenzi wameyaweka mbali sana na social media. Hata ule ukaribu na wasanii wenzao wajinga wajinga (mashosti) hawana.
Nadhani hizi zinaweza kuwa sababu za kuwafanya wadumu katika mapenzi na kama kundi la muziki, mana ni ngumu sana kuunda kundi halafu mke na mume ndo mnafanya kazi pamoja. Kama P Square pacha wameshindwana itakuwa wapenzi?
Hongereni sana Aika na Nahreel, achaneni na upuuzi puuzi leeni watoto wenu, fanyeni mziki, pigeni kazi kwa manufaa yenu na kwa manufaa ya watoto wenu na taifa kwa ujumla