mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 772
safi mkuu decomm ila naamini akianzia na pump tu tatizo atakutana nalo!!!!Kagua fuel pump, ipo kwenye tank la mafuta (petrol), kagua fuel filter.
Kagua spark plug zote, kagua lead wire zote.
Kagua na coil (distributor), pia kagua firing order.
Ukifanya hayo yote utagundua tatizo, rekebisha.
NB: Jenga tabia ya kujaza mafuta ya kutosha kwenye gari, pia chagua vituo bora vya mafuta, usijaze pasipo aminika.
Kagua fuel pump, ipo kwenye tank la mafuta (petrol), kagua fuel filter.

Asante sana mkuu wangu.nitapitia steg zote
Upo mkoa gani? Kama wewe si fundi peleka kwa fundi
Chk na fundi wangu yuko ilala mwaminifu mjuze aichunguze nzima
Macha
0754775966

Utakuwa ulimpigia jioni wakati ameshamaliza kazi na kuingia katika raha zakeMhhhhh. hii namba nimeipiga amejibu mtu mmoja anaonekana amelewa pombe za kilugha au viroba. mwambie ajifunze bia japo moja kwa afya
Wapi huko mkuu?usihangaike kukagua gari manually, nenda kalipie elfu 30, ucheki kwa computer fasta tu unapata jibu