Hii cable ina kazi gani

Hii cable ina kazi gani

Ukichomrka OTG cable ikakataa kuread.
Nenda play store.
Kuna applications za OTG.
Jaribu kudownlod moja baada ya nyingine,kuna moja ita kwendana na simu yako.
Note simu yako lazima I we in adroid 4.1+
 
je otg cable inaweza ikatumika kwny projector km ikiunganishwa na hdmi cable?
 
Back
Top Bottom