Hii cable ina kazi gani

Hii cable ina kazi gani

Hyo ya kuunganisha Simu na TV yani ukiunganisha hapo kitu utakachokuwa unafanya kwenye Simu utakiona kwenye TV yako but make sure hyo TV ina port ya USB
kama ndivyo basi wameifanya fupi mno,hawana ubunifu kabisa maana hapo itatakiwa ukae zero distance na TV
 
Me ninazo nauza wakuu...

Mwenye uhitaji ani pm!!,
Zina kaz zaid ya hizo.
Unaweza bypass security ya cm na kuinstall Yale ma tracking Kwenye sim ya mtu
 
Me ninazo nauza wakuu...

Mwenye uhitaji ani pm!!,
Zina kaz zaid ya hizo.
Unaweza bypass security ya cm na kuinstall Yale ma tracking Kwenye sim ya mtu
Ufafanuz mkuu
 
kama alivyosema mdao hapo juu ni usb otg tu bei zake ni shilingi 3,000 sometime hadi 2000 zinapatikana.

kazi zake ni kubadilisha usb yako ndogo kuwa kubwa na kuweza kueka vitu vinavyohitaji usb kama vile flash, external HDD, etc

ili ikubali inabidi simu yako iwe na feature hio ya usb otg.
 
Zinauzwa maduka ya simu au computer?
 
OTG cable .....kama cjakosea inaunganisha flashdisc km unataka Simu isome hiyo flashdisc ..ok
 
hiyo unashare charge kutoka kwenye hiyo simu kwenda kwenye simu nyengine so simu ina act kama power bank na unaweza weka flash ikasoma kwenye simu so ina function nyingi ina depend n unataka nini
 
Hata ukitaka kuchomeka USB Flash kwenye simu yako ili kuhamisha data au kukopi data unachomeka hiyo cable kwenye simu kisha upande mwingine unaweka flsh
mbn kwenye tecnol h5 inagoma kuwa connected..msaada please
 
Back
Top Bottom