Hii barabara ya Singida - Babati ni takataka.

Sijui ata mtu unaendaje kuomba kura huku. Mi ningetuma muwakilishi. Utawadanganya sana wananchi wakuelewe
 
Hiyo layer ya lami ni hardly 2.5cm thick. Aliyejenga hiyo barabara anastahili kuozea jela au apigwe shaba kama wanavyofanya China.
Una uhakika hakuambiawa ajenge hivyo? Lami zipo za aina nyingi zikitofautiana ubora ,mwenye barabara anaamua ajenge aina ipi kutokana na bajeti
 
Si walisema wataijenga na fedha tayari zipo, ni suala la muda tu wakandarasi kuingia kazini. Hiyo barabara ina mashimo balaa
 
Upo Nchi Gani Mkuu
Kuanzia Mpaka Wa Mkoa Wa Singida Kwenda Manyara Ni Mahandaki Mpaka Babati
Bora Upite Dodoma Mpaka Babati
Si kweli, kipande cha DAREDA-Babati-Magugu hakina shida. Ni kipande bora sana..

DAREDA -Singida ndio shida
 
Wafanye hivyo aisee
Hakuna cha ukarabati tena kwenye hiyo barabara. Inatakiwa ifumuliwe yote. Bora umethibitishia walimwengu niliandika hapa kuhusu kichefchef cha hiyo barabara. Ni ya hovyo mno.

Kumbe huo ni mkono wa CHICO
 
Linganisha na ile ya Dodoma, Kondoa, Babati iliyojengwa chini ya MCA kwa hisani ya Watu wa Marekani. Seems walifuatilia wenyewe bampa to bampa.
Yap correct
Barabara zote zilizojengwa kwa hisani ya watu wa Marekani zipo timamu , si tu wanafuatilia wenyewe bali pia hawaweki mkandarasi wa bei nafuu
Mbinga Peramiho ni moja wapo ya barabara hizo.
 
Yap correct
Barabara zote zilizojengwa kwa hisani ya watu wa Marekani zipo timamu , si tu wanafuatilia wenyewe bali pia hawaweki mkandarasi wa bei nafuu
Mbinga Peramiho ni moja wapo ya barabara hizo.
Means vitu vya bei rahisi in the long run ni ghali kuliko uhalisia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…