Duh ! Hiyo barabara narco matui,kiteto,kondoa unataka kusema mpaka sahv haijawekwa mkekaHiyo mbona nzuri.Yaani Mad Max unatumia sedan kwenye barabara za kiwilaya na unalalamika?
Vipi ile ya kutoka Narco kuelekea kondoa via kiteto?
Kiufupi muanzia madiwani hadi wakuu wa mikoa ya SINGIDA,DODOMA,MANYARA na ARUSHA MATAKO YAO.
na Mama anaupiga mwingi sana!Miaka 60+ ya uhuru.
Sio ya mkoloni kweliHiyo layer ya lami ni hardly 2.5cm thick. Aliyejenga hiyo barabara anastahili kuozea jela au apigwe shaba kama wanavyofanya China.
Angalia lami kama ulimi!Aisee, Hakuna haja ya kuweka vibao vya 50. View attachment 3693033
Hii ilijengwa wakati Magu akiwa waziri wa ujenziHiyo layer ya lami ni hardly 2.5cm thick. Aliyejenga hiyo barabara anastahili kuozea jela au apigwe shaba kama wanavyofanya China.
Linganisha na ile ya Dodoma, Kondoa, Babati iliyojengwa chini ya MCA kwa hisani ya Watu wa Marekani. Seems walifuatilia wenyewe bampa to bampa.Moja ya barabara zinazonisikitisha sana nikipita , nyingine ni ile ya Iringa Mtera Dodoma, hazina hata miaka 10 toka zijengwe kwa pesa ndefu na walaa hazipo buys na road traffic
AioneAisee, Hakuna haja ya kuweka vibao vya 50. View attachment 3693033
Inasikitisha sana.Ile itawekwa lami 2050.
Nadhani walikuwa wanasubiri uwajibikaji wa Papian,Madangu na Cheusi,mbaya zaidi mwenda zake akaenda zake kweli.Duh ! Hiyo barabara narco matui,kiteto,kondoa unataka kusema mpaka sahv haijawekwa mkeka
Ova
Hii ilijengwa chini ya kiwangoAisee, Hakuna haja ya kuweka vibao vya 50. View attachment 3693033
Mno!Inasikitisha sana.
Nusu iniue hii barabara kuna mtu tulimfuata alipata accident kipindi flani aiseee hapana MkuuHiyo mbona nzuri.Yaani Mad Max unatumia sedan kwenye barabara za kiwilaya na unalalamika?
Vipi ile ya kutoka Narco kuelekea kondoa via kiteto?
Kiufupi muanzia madiwani hadi wakuu wa mikoa ya SINGIDA,DODOMA,MANYARA na ARUSHA MATAKO YAO.
Barabara ilijengwa Miaka ya 2010 kwenda mbele kama sijakosea...Sio ya mkoloni kweli