Bunge limeshapitisha wewe unawashwajeHatukatai kubinafsishwa wala kuwapa wawekezaji mbwa weye tunachomind nini kimeandikwa ndani ya mkataba?
Bunge limeshapitisha wewe unawashwajeHatukatai kubinafsishwa wala kuwapa wawekezaji mbwa weye tunachomind nini kimeandikwa ndani ya mkataba?
Ni hadhi ya mjingaUpumbavu siyo matusi.
Hawa ndio wanatuaminishaga CCM inashindwa kwenye mitandao, yakija matokea sasa 😳Kuna kadada kanaitwa maria sarungi kule twitter kenyewe kanachochea vijana mtandaoni nashangaa jana sijakaona. Hii nchi ina vijana wa hovyo sana
Huu hapa mkataba, soma ulete huo upupu unaotopoloshwa mitandaoni kuwa ni wa mileleHatukatai kubinafsishwa wala kuwapa wawekezaji mbwa weye tunachomind nini kimeandikwa ndani ya mkataba?
Hawa ndio wanatuaminishaga CCM inashindwa kwenye mitandao, yakija matokea sasa 😳
Umeshalewa saa hizi wakati kesho kibaruaniHicho kimaria sarungi chako jua kwanza yupo huko Tigrey Ethiopia 🇪🇹
Uko wapi mkataba?Hao watu wasiojielewa na wewe ukiwepo, sababu hadi sasa bado ujajua nini watu wanataka , ishu sio DP WORLD kuchukua bandari , watu wanataka baadhi ya vipengele kwenye mkataba vifanyiwe marekebisho..
Inawezekana hata ujapitia huo mkataba upo hapa kupiga kelele tu, watu sio wajinga kupinga hili swala.
Pimbi wewe unafikiri kila mtu ni kibarua kama wewe! Boya!Umeshalewa saa hizi wakati kesho kibaruani
101 na OxgenKuna bar gani kali hapa tabora mjini, tupunguze hela za walipakodi kodogo
Japo tunawataka DPWPimbi wewe unafikiri kila mtu ni kibarua kama wewe! Boya!
Wewe nani ! Utake Usitake boya weweJapo tunawataka DPW
Lakini wewe umevishwa shanga za unyago
Unamuharibia mwenzako uzi wakeWewe nani ! Utake Usitake boya wewe
Mjinga wewe unaleta ushabiki wa Yanga kwenye mambo ya kitaifa. Boya tuu wewe
I second you.Rais Samia ukicheka na wajinga tutajikongoja miaka 500 kufikia malengo. Binafsi mimi kama mtanzania ni miongoni mwa tunaokusapoti sana kwenye kufanya mageuzi makubwa ya kiuchumi katika nchi hii. Speed yako ni kubwa sanaa. Usikatishwe tamaa na wajinga wengi wasiojielewa.
Wale mliozoea biashara za magumashi hapo bandarini katafuteni kazi za kufanya mama kasema lazima mifumo yote ya ku operate isomane mmetuchelewesha sana. Mtu unafika bandarini kumejaa vishoka tu watu wanapiga deal.
Shikilia hapo hapo DP WORLD to the next level.
Ila wewe pimbi umekuja na mambo yako ya udini na siasa ! Fala wewe! DP World mtake msitakeI second you.
Naunga. Mkono hoja 100%.
Tena ajabu sana, chadema wamemtumia kijana anaejulikana kwa ushoga anaitwa Soka, ndiyo eti aanzishe maandamano ya kupinga bandari isiendeshwe na Waislam. Cheza na intelijensia ya Tanzania,
mwenyewe hakuwepo akabambwa huko huko laikojificha. akasema yeye ameahidiwa akianzisha maandamano atafanyiwa mpango apelekwe Denmark au Canada akapate ukimbizi. Akawataja na wengine wote aliowarubuni.
Sasa najiuliza tuwafate hawa mashoga wasiopenda mendeleo?
Mama. Piga uwa, bandari iboreshwe haraka sana.
Nisome vizuri, punguani wahed.Ila wewe pimbi umekuja na mambo yako ya udini na siasa ! Fala wewe! DP World mtake msitake
Wewe ajuza una hoja nzuri ila suala lako la udini ndio linaleta upotofu. Na ndio maana kweye mkataba ulioouleta asubuhi kwa kiswahili mbona hakuna neno dini au uislam boya wewe!Nisome vizuri, punguani wahed.
Mimi naitaka DP World iwepo zaidi yako.