Hii bahati au mkosi?

hii c bahati wala mkosi,maana jero lake litatatumiks vilevile,si alishuka kituo kisicho chake!itabidi alipie tena
 
duh! hii kali na ni balaa ishu iko pale pale maana kashuka ki2o ambacho sio chake kwa hio lazima apande tena gari kutumia hile jelo yake
 
Nimecheka mwenyewe hadi nikaulizwa hapa, ikabidi niwashirikishe na wengine. Nimekugongea senks pia
 
hii kali na inawezekana wakati anarudisha mfukoni hakuridisha kwenye mfuko wa kwanza aliyotoa hiyo elfu kumi!
 
nimecheka sana. inawezekana aliziweka kwenye mfuko wa mwingine walas sio mfuko wa aliezitowa...
 
Kwi kwi kwi kwi!
Kwo kwo kwo kwo!
Kwu kwu kwu kwu!
Ha ha ha ha ha ha ha!
Teh teh teh teh teh!
 
Duh! nimecheka sina mbavu!!....
..ila jamaa kama karudishiwa kwenye mfuko wake ile kumi yake atashangaamno! Huenda akamwambia konda tayari nimeisha kulipa,yaani nilikuwa na Kumi imebaki chenji hiihapa jamaa atatoa!!
 
Kwahiyo jamaa ashukuru tu..............!!!:wink2:
 
natamani ingekuwa ndio mimi..........ningesema chuma ulete!
 
huo ni mkosi maana kama watu walibanana kiasi cha kuchenjiana pesa ina maana usafiri ulikua wa shida hivyo atapata shida sana kupata daladala nyingine huko njian alikoshukia kwa tabia zake za wizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…