UMUCHAMICHI
Member
- Oct 20, 2012
- 41
- 13
Nahitaji civil engineering technician (highway engineering)kwa muda wa mwezi 2 haraka sana.mshahara na mambo mengine tutazungumza,ila awe tayari kukaa site kwa muda wote wa project,awe na leseni ya udereva,umri wowote ila asiwe mzee saaana,uzoefu unahitajika ,asiwe mlevi kupindukia(maana tutakosana haraka sana huko site)tafadhari wasiliana nami kupitia 0789 670 138 au pm: ,mwisho ni trh 17/10/2013.