Naomba kazi. Civil and Highway Engineering Technician.

goswe

JF-Expert Member
Apr 28, 2018
2,221
2,000
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza.
Mimi ni civil and highway engineering technician.( Arusha tech.)

Nimzuri kwenye yafuatayo
1)site supervision kazi zote asphalt ama concrete works
2)laboratory material testing
3)levelling survey.
4) architectural works( hususan autocard)

Aina ya malipo yoyote kwangu safi.
Hali mbaya.
 
keisangora

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
1,050
2,000
Unaweza ukafanya kazi kama foreman,kama unajua unaweza kazi ku organize machines and workmanship tuwasiliane.pia pole sana mhandisi msaidizi najua masomo ni magumu sana afu unakuja kushinda njaa mpaka mia ya kula inakukosa afu mtu anakuambia ujiajiri na huku hata tumbo lina njaa. Akili ya kuwaza mazuri hayatakuwepo
 
Nikweli kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom