Mtoboasiri
JF-Expert Member
- Aug 6, 2009
- 5,101
- 1,937
Kwa kulinganisha na pato la taifa lao, Raila Odinga ndie kiongozi anaelipwa mshahara mkubwa kwa mwaka. Anatia kibindoni dola 412,000 wakati GDP yao haizidi dola elf mbili.
Ikumbukwe Rais Obama anapokea dola 400,000 na Hu Jintao Rais Wa China anapata dola 11,000 tu kwa mwaka.
Kwa mtindo huu wa kujilipa fedha nyingi nafikiri ndio sababu viongozi wa KIAFRIKA wanakua wagumu kuondoka.
SOURCE: ALJAZEERA
EXCHANGE RATE: DOLA MOJA =1560
I seriously doubt this! Yaani apewe mshahara mkubwa kuliko raisi wake? Utakaenibishia tafuta data juu ya kodi ambayo wabunge wa Kenya walilazimishwa kulipa majuzi tu na ulinganishe na hoja hii.