Higher Learning Students Supporting Fund ni mali ya nani?

Higher Learning Students Supporting Fund ni mali ya nani?

kuku dume

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Posts
414
Reaction score
62
Home jamani wakuu anayejua totote kuhusu taasisi hii naomba anijuze. ningependa kuwajua wamiliki wake.
 
hivi ni kweli wanatoa mokoopo kwa wanafunzi na kama ndio natamani wapewe nafasi kubwa sasa, maana sirikali ni kama imeelemewa katika hili
 
Naomba kufahamu utaratibu wa chombo hiki maana mwaka huu hali ni ngumu kwa sie watoto wa masikini
Ndo kuisoma namba huko dada angu... Hela tumelipa wasanii kwenye kampeni... Itabid mnyooke tu... Acha waisome namba eeh.. Sie mbele kwa mbele na leo tunaapisha
 
HLSSF inahusishwa na utapeli ndugu zangu.Kuna nyuzi kadhaa zimewahi kuletwa humu kuhusu utapeli wa hawa jamaa

Tuwe makini
 
Back
Top Bottom