Higher Learning Students Supporting Fund ni mali ya nani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Higher Learning Students Supporting Fund ni mali ya nani?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by kuku dume, Jul 17, 2012.

 1. kuku dume

  kuku dume JF-Expert Member

  #1
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 415
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Home jamani wakuu anayejua totote kuhusu taasisi hii naomba anijuze. ningependa kuwajua wamiliki wake.
   
 2. J

  JADA Member

  #2
  Sep 24, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hivi ni kweli wanatoa mokoopo kwa wanafunzi na kama ndio natamani wapewe nafasi kubwa sasa, maana sirikali ni kama imeelemewa katika hili
   
 3. A

  Angelina Masengwa Member

  #3
  Nov 4, 2015
  Joined: Oct 19, 2015
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba kufahamu utaratibu wa chombo hiki maana mwaka huu hali ni ngumu kwa sie watoto wa masikini
   
 4. Ntaluke.N.

  Ntaluke.N. JF-Expert Member

  #4
  Nov 5, 2015
  Joined: Jun 21, 2015
  Messages: 1,341
  Likes Received: 372
  Trophy Points: 180
  Pole sana Mayu Ng'wanamasengwa.
   
 5. Single mother

  Single mother Senior Member

  #5
  Nov 5, 2015
  Joined: Jun 10, 2015
  Messages: 160
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  hebu kaa chini uandike kitu kinachoelewela
   
 6. Geofrey_GAMS

  Geofrey_GAMS JF-Expert Member

  #6
  Nov 5, 2015
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 564
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  Ndo kuisoma namba huko dada angu... Hela tumelipa wasanii kwenye kampeni... Itabid mnyooke tu... Acha waisome namba eeh.. Sie mbele kwa mbele na leo tunaapisha
   
 7. Ze Heby

  Ze Heby JF-Expert Member

  #7
  Nov 5, 2015
  Joined: May 20, 2012
  Messages: 3,651
  Likes Received: 1,885
  Trophy Points: 280
  HLSSF inahusishwa na utapeli ndugu zangu.Kuna nyuzi kadhaa zimewahi kuletwa humu kuhusu utapeli wa hawa jamaa

  Tuwe makini
   
Loading...