Bravo300kbps Zantel balaa jamani speed ya leo ni hatari natumia modem moja nimeunga pc Sita lkn downlink ni 300kbps sio mchezo
Hizo pc nyingine pia zinadowload? N una dowlnoad file amabo liko location gani na format gani?
Siku si nyingi nitaajarinu zantel
300kbps Zantel balaa jamani speed ya leo ni hatari natumia modem moja nimeunga pc Sita lkn downlink ni 300kbps sio mchezo
Mimi pia natumia zantel,wacheni jamani wanastahili sifa speed ya ni super!! Wakati mwengine download speed inafika mpaka 320kbps.
Nilikuwa nina mashaka na Zantel lakini sasa nimeamini jamaa wana stahili pongezi!!
Cheap,very fast and convinient!!
ravo Zantel!!
Nyie vipi? leo mmeamkia mkono gani ? mimi natumia local ISP ambaye naye anachukulia simbanet napata speed ya 300kbps na kwa mwezi nalipia sh 60,000/= tu, kwa siku nina uwezo wa download 3gb hadi 4.5gb kwa masaa 9. Nani ambaye anapata speed kama hii na kwa bei ndogo kama hii, eeh?

Bei ni balaa ukilinganisha na ipi?
Balaa ni balaa tu hata kama hakuna cha kulinganisha! Yaani wewe mtu akisema Tetemeko la Haiti ni balaa utauliza ukilanginasha na lipi - la Chile na Uturuki?