High speed internet

ThinkPad

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
1,844
232
300kbps Zantel balaa jamani speed ya leo ni hatari natumia modem moja nimeunga pc Sita lkn downlink ni 300kbps sio mchezo
 
Hizo pc nyingine pia zinadowload? N una dowlnoad file amabo liko location gani na format gani?
Siku si nyingi nitaajarinu zantel
 
Yaani zote zina download mbili nimeunga VPN ya TRA vijana wanapiga mzigo wa ku Upload doc kibao.

Nimedownload Drivers za HP 50MB ndani ya dk chache nimemaliza kila kitu
 
300kbps Zantel balaa jamani speed ya leo ni hatari natumia modem moja nimeunga pc Sita lkn downlink ni 300kbps sio mchezo

usije kuwa unafanya kazi Zantel ya marketing ukawa unafanya advertisement humu humu JF Mkuu - 37.5KB ni permance nzuri -ingawa ungeniambia 60KB ingekuwa super.
 
Mimi pia natumia zantel,wacheni jamani wanastahili sifa speed ya ni super!! Wakati mwengine download speed inafika mpaka 320kbps.

Nilikuwa nina mashaka na Zantel lakini sasa nimeamini jamaa wana stahili pongezi!!

Cheap,very fast and convinient!!

ravo Zantel!!
 
Nina jamaa yangu mmoja anafanya kazi Vodacom yeye ndio aliyenishauri nitumie Zantel hilo halina ubishi kama hauamini nunua CDMA modem yao kisha unganisha computer idadi minumum 25 zote ziwe active download and upload hapo ndio utagundua nini hawa jamaa wanafanya wako vizuri sana

NB:

UMESHA WAHI KUNUNUA KIATU KWA SH KADHAA KISHA UKAENDA DUKA JINGINE UKAKUTA KIATU KILE KILE KWE BEI YA KUTUPA????

SASA HAPO KAZI KWAKO UTAJUA UTUMIE TTCL AU ZANTEL NA WOTE HAWA WANA EVDO MODEM ZANTEL ANACHAJI 30MB TTCL 160 HAPO UTAJUA KIPI CHA KUFATA
 
Nyie vipi? leo mmeamkia mkono gani ? mimi natumia local ISP ambaye naye anachukulia simbanet napata speed ya 300kbps na kwa mwezi nalipia sh 60,000/= tu, kwa siku nina uwezo wa download 3gb hadi 4.5gb kwa masaa 9. Nani ambaye anapata speed kama hii na kwa bei ndogo kama hii, eeh?
 
Hiyo ni wapi maan nina VODA, Sasatel, wote sioni afadhali, Sasatel naona inakula hata huja fungua page unaambiwa 5mb sime kwenda , hebu tupe contact za huyo Local ISP tafadhali
 
Nyie vipi? leo mmeamkia mkono gani ? mimi natumia local ISP ambaye naye anachukulia simbanet napata speed ya 300kbps na kwa mwezi nalipia sh 60,000/= tu, kwa siku nina uwezo wa download 3gb hadi 4.5gb kwa masaa 9. Nani ambaye anapata speed kama hii na kwa bei ndogo kama hii, eeh?

ISP Yupi huyo?
 
Balaa ni balaa tu hata kama hakuna cha kulinganisha! Yaani wewe mtu akisema Tetemeko la Haiti ni balaa utauliza ukilanginasha na lipi - la Chile na Uturuki?

aaah hili sio jibu hauna point ndio maana umeleta brah brah Uwe unaandika kitu kama unazo supportive data au docs una sasa unashindwa kaswali kadogo huyooooo shame on you!!! aibu mtu mzima huyooo
 
Nyie vipi? leo mmeamkia mkono gani ? mimi natumia local ISP ambaye naye anachukulia simbanet napata speed ya 300kbps na kwa mwezi nalipia sh 60,000/= tu, kwa siku nina uwezo wa download 3gb hadi 4.5gb kwa masaa 9. Nani ambaye anapata speed kama hii na kwa bei ndogo kama hii, eeh?

300kbps!
60000pm!
3gb/day!
3gb*30=90gb per month
90gb/60000=0.6TZS/mb!
300kbs
Tumbo limenitetema!!....kama ni kweli hii itakuwa balaa!
au ni ugeni wangu mjini? nina mashaka huyo local ISP atakuwa mwizi!
 
Back
Top Bottom