Wakuu kutokana na hali ya uchumi kuwa ngumu nimejifanyia analysis kujua kwa nini nina income kidogo ukilinganisha na mahitaji ya kila mwaka.
Katika kujifanyia fair anaysis nikapata vikwazo saba, one of them is that I'm not engaged in high income generating activities leave alone lacking regular / daily income.
Katika kutafuta majibu nikakosa majibu ya haraka lakini nikasema ngoja niwashirikishe wana JF ni miradi gani ambayo unaweza ukaanza nayo na mtaji mdogo say 10 - 15m ambayo inaweza kukuzalishia at least a net profit of 3 - 3.5M per month.
Nakaribisha mapendekezo na maoni.
wasalaam.