HorsePower
JF-Expert Member
- Aug 22, 2008
- 3,612
- 2,569
kwi kwi kwi kwi!
yani hapa napata picha The Boss kavaa high heels
nyuma yake afuatiwe na Mtambuzi
kwa pembeni yupo Dark City
kwa mbele kuuuuuule anapita Kaizer
sijakaa vizuri nimwone watu8
mara hamad HorsePower huyu hapa
kabla sijabishana na macho yangu anakatiza SnowBall na mwenzie Asprin wakimkimbilia KakaKiiza na kisha Erickb52 awaulizie wanaenda wapi kabla BAK hajasema na ye anaenda huko huko!
ahahahahhahahhahahhahah sitaki mimi!
Hahahahaaa snowhite nakumbuka enzi za mzee dah walikuwa wanatokelezea mbaya sana aisee lol:smile-big:kwi kwi kwi kwi!
yani hapa napata picha The Boss kavaa high heels
nyuma yake afuatiwe na Mtambuzi
kwa pembeni yupo Dark City
kwa mbele kuuuuuule anapita Kaizer
sijakaa vizuri nimwone watu8
mara hamad HorsePower huyu hapa
kabla sijabishana na macho yangu anakatiza SnowBall na mwenzie Asprin wakimkimbilia KakaKiiza na kisha Erickb52 awaulizie wanaenda wapi kabla BAK hajasema na ye anaenda huko huko!
ahahahahhahahhahahhahah sitaki mimi!
kwi kwi kwi kwi!
yani hapa napata picha The Boss kavaa high heels
nyuma yake afuatiwe na Mtambuzi
kwa pembeni yupo Dark City
kwa mbele kuuuuuule anapita Kaizer
sijakaa vizuri nimwone watu8
mara hamad HorsePower huyu hapa
kabla sijabishana na macho yangu anakatiza SnowBall na mwenzie Asprin wakimkimbilia KakaKiiza na kisha Erickb52 awaulizie wanaenda wapi kabla BAK hajasema na ye anaenda huko huko!
ahahahahhahahhahahhahah sitaki mimi!
kitu high heels!'mchezo!