M2mwembamba
JF-Expert Member
- Feb 23, 2014
- 2,509
- 1,132
Rejea kichwa cha habari naomba kujua hicho kioo kilichowekewa mshale kina kazi gani?
Rejea kicha cha habari naomba kujua hicho kioo kilichowekewa mshale kina kazi gani?View attachment 1760748
Niliambia na Dada yangu kuwa ni Kioo cha kujipodolea baada ya kumaliza kuhutubia.
Mkuu mbona umeuliza kitu ambacho inaonekana unakijua.
Ana swipe vipi pages ?
Kinaitwa screen protectorHiyo hutuba yake ndio alikuwa anaisoma humo ila Jina lake limenitoka kidogo. Ngoja wajuvi waje
[emoji23]Niliambia na Dada yangu kuwa ni Kioo cha kujipodolea baada ya kumaliza kuhutubia.