Hichi kifo mama anahusika...

Hichi kifo mama anahusika...

Yah! but tusihukumu tusije tukahukumiwa, tough kwa kijana aliyepoteza mke mtarajiwa ni ngumu kurudi ktk hali ya kawaida ya mahusiano mazuri na mama yake but Mungu amsimamie tu


dah inauma lakini.
ila yote yanawezekana ikawa coincidence ya kifo na uingiliaji wa bimkubwa au ikawa anahusika moja kwa moja ila cha msingi ni kumuachia mungu tu.yeye ndo mkamilifu na anajua kila kitu
akimind sana anaweza akaanza kumfanyia investigation bibi wake mkubwa kujua kama anahusika ama vipi.?
 
Haya mambo huwa yanatokea sana

Lakini inakuwa ngumu kuhukumu, pengine mrembo muda wake ulishafika

Mama wa watu limemkuta la kukumkuta kutokana na tofauti zake na mke mtarajiwa wa mwanae
 
Yah! but tusihukumu tusije tukahukumiwa, tough kwa kijana aliyepoteza mke mtarajiwa ni ngumu kurudi ktk hali ya kawaida ya mahusiano mazuri na mama yake but Mungu amsimamie tu
Yap ndo maana nikasema a let it go sometime the less we know the better, maisha lazima yaendelee na huyo bimkumbwa ataendelea kuwa mama yake.
 
  • Thanks
Reactions: ram
Wabongo ndio tunaongoza kwa imani za kishirikina hapa Afrika mashariki...
 
Ahsante siku hizi humu kuna hotel eeee?!!!

Zipo za ki JF JF hata lodge, ndoa za kijeiefu etc bt angalizo usije na mama mkwe asije anza niuliza meno yalitangulia chini ama juu dats my worries!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom