Hiace Dungu Inahitajika

Hiace Dungu Inahitajika

muuza ubuyu

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Posts
3,543
Reaction score
3,603
Wakuu, natumaini mnajiandaa vyema na weekend.

Mwisho wa mwezi 10 nahitaji kupata Hiace dungu, manual, diesel, ikiwezekana 4wd na pia walau iwe na max 100,000km na cc isiyopungua 2500.

Pia isiwe imetumika hapa bongo.

Wenye yard zinazoaminika au unaefahamu ninakoweza kupata naombeni taarifa.
 
Wakuu, mwenye taarifa naombeni tufahamishane
 
Back
Top Bottom