Hi

Hi

Hahahahaaaaaa natafta nwanamke wa kumuoa sawa wakuu
 
Hahahahaaaaaaaaaa watu waswahili humu OK I mean natafta mke wa kuoa mpo hapo? So naombeni msaada wenu maana ninaokutana nao wafwata maslahi tu
Kwa hiyo unataka kumuowa mke wako...???!!!
 
Nabadili kauli natafta mwanamke wa kuoa
 
kuweni makini wadada, hii mambo inakuwa hivii

safiii.jpg
 
Natafta mke

Hahahahaaaaaaaaaa watu waswahili humu OK I mean natafta mke wa kuoa mpo hapo? So naombeni msaada wenu maana ninaokutana nao wafwata maslahi tu

Hahahahaaaaaa natafta nwanamke wa kumuoa sawa wakuu

Nabadili kauli natafta mwanamke wa kuoa

Awe na umri usiozifi miaka 27 awe mweupe asiwe asiwe mnene sana wala mwwmbamba sana pia awe na hofu na mungu

Mwanamke ambaye hajaolewa nimuoe mm

We we unavigezo gani

Age is just a number.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom