Yaan hili tangazo au ndio mnampa kazi?Wasiliana nasi
Morning Joy Motors
+255797113153
Nimesha wachekiWasiliana nasi
Morning Joy Motors
+255797113153
Kwanini?Wa kudeka sana wewe
😀😀 ya kupush madawa hapana mkuuOya we muhuni mtafute yule muhuni alieomba kazi humu akapata mtu aliemuunganisha sehemu akapata kazi kwa siku analipwa laki 1 na hana elimu yoyote, sasa sijui anapush madawa mimi sijui wewe si unataka kazi? Fukua fukua huo uzi utaukuta humu chukua namba ya jamaa mpigie mwambie na wewe unataka akuunge kwenye hio kazi ambayo kwa siku anapewa laki kwa mwezi M3 na hana elimu yoyote in short hawataki hayo madegree yenu