Globu
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,096
- 2,606
Duh, mtoto akinyea mkono hauukati jamani kuweni wapole na mumueleweshe endaikawa kakosea njia au hajui kabisa.
Umenena Mkuu.
Duh, mtoto akinyea mkono hauukati jamani kuweni wapole na mumueleweshe endaikawa kakosea njia au hajui kabisa.
hahahhahahahahaah mkuu umeeleweka..ila ndo kumwelewesha huko,,,nadhan amejifunza...Mueleweshe bado mgeni. Kuwa mstaarabu.