hi

karibu, ujifunze kubrainstorm kuchangia hoja or kuanzisha. Ni GT only are allowed...!!!
 
Well thanks,
Tunakukaribisha sana katika jukwaa hili. Umekuja leo huku jamvini

Ushauri: Anzisha "THREADS" uwezavyo, na ziwe na mshiko usije ukapigwa "ban". Pia kwenye likes given, ukiona hoja ya mdau imekugusa na kuna ukweli ndani yake, ikubali kwa kuijibu au kuipa "LIKE". Unavyopost mara nyingi ndivyo utakavyo kuwa manajamii mkomavu na utajua/utaelewa mambo mengi.

Wadau wa humu mtandaoni wana mitazamo tofauti tofauti lakini asilimia 90 ni ya kujenga.....ichambue!

Karibu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom