Ila dogo anatakiwa apew verified user mapema sana Mana kajitoa kwa moyo wote bila woga hataki kuish kitumwa na mashaka mengi
Hongera zake kwa moyo huo sana dogo usiwe na wasi huku Ni salama tu hakuna tabu kabisa usijione mnyonge kwa maneno ya humu.
Kukosea ndio kujifunza kuwa na amani nitakutumia pesa kidogo ya vocha.tunahtaji JAMII FORUM kama hii ya kuweka picha na details zako zote bila woga kabisa