Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,319
- 201,540
Hapa ni mwendo wa kupokea tu wageni mkuu
Mkuu sekta hii ya wageni upo vizuri sana















Hapa ni mwendo wa kupokea tu wageni mkuu















Naunga mkono juhudi hizi kwa member mwingine atakayekuja kujitambulisha

muda mwingine ntakukaribisha mkuu uwe kitengo chakushika mapembeSs badala umwokoe jamaa unamchekaAisee!!ha ha ha bro


mkuu vipi huyu ni member mpya lazima tumfahamu mbona group za WhatsApp hua tunatambulishana
,, jamaa umeingizwa king na ww ukaingia, naamini haumalizi mwezi haujabadili ID
Hii kazi inahitaji Uzalendo wa hali ya juu sanaMkuu sekta hii ya wageni upo vizuri sana![]()



Ngoja tukutaftie na mchumba kabisa Demiss ila cheti chakuzaliwa haujatuma mkuu vipi hawajakupatia




km ni maskio amekamatwa hasa
We jamaa ni matako kweli unatumaje detail zako huku. Had lipicha lako
Mamaamama eeeeeee!
Aya kabadili chap sasa ushamba ushakuisha
Mimi mwenyewe nimechelewa,nimekuta jamaa tayala ameshamwaga mbogaSs badala umwokoe jamaa unamcheka


Bila kusahau nundumuda mwingine ntakukaribisha mkuu uwe kitengo chakushika mapembe
Mimi mwenyewe nimechelewa,nimekuta jamaa tayala ameshamwaga mboga![]()



a,, atakuja kukuchukia maisha yake yote maana Hilo king ulilomuingiza sio la kitoto hahahaa
mkuu vipi huyu ni member mpya lazima tumfahamu mbona group za WhatsApp hua tunatambulishana
Lugha chafu kama hizi Mimi kama Adimini sizitaki mkuu Shaib rich huyu member achana nae ngoja nimpige ban asionekane humu kua Na amani mkuu uko sehem salama Na Mimi ndo Adimini humu Fanya kama nilivyokuagizaWe jamaa ni matako kweli unatumaje detail zako huku. Had lipicha lako
Mamaamama eeeeeee!
Aya kabadili chap sasa ushamba ushakuisha
Bila kusahau nundu



,, jamaa atakuja kumchukiA aliemuingiza chaka
km ni maskio amekamatwa hasa
Lugha chafu kama hizi Mimi kama Adimini sizitaki mkuu Shaib rich huyu member achana nae ngoja nimpige ban asionekane humu kua Na amani mkuu uko sehem salama Na Mimi ndo Adimini humu Fanya kama nilivyokuagiza
Namwonea huruma mimi hiiiii,, jamaa atakuja kumchukiA aliemuingiza chaka


