H Hayati Member Joined Jul 1, 2011 Posts 64 Reaction score 5 Jul 2, 2011 #1 Hello wana JF.naomba mnipokea nakuja kwenu nipate kubadilshana mawazo kwa mambo mbalimbali yaliyomo ktk jamii.naamini mmenipokea kwa shangwe. Amani upendo mshikamano uzidi uzidi ndani ya JF
Hello wana JF.naomba mnipokea nakuja kwenu nipate kubadilshana mawazo kwa mambo mbalimbali yaliyomo ktk jamii.naamini mmenipokea kwa shangwe. Amani upendo mshikamano uzidi uzidi ndani ya JF
Vin Diesel JF-Expert Member Joined Mar 1, 2011 Posts 9,087 Reaction score 6,392 Jul 2, 2011 #2 karibu sana hayati. hizi user names tunakoelekea...
B Bajabiri JF-Expert Member Joined Jan 1, 2011 Posts 9,728 Reaction score 1,214 Jul 2, 2011 #3 Kuna mtu amekushauri ubadili user,sijajua ana maana gani,rudi kwenye sridi ileee ya kijana aliyeshindwa kuruka UKUTA ila KARIBU
Kuna mtu amekushauri ubadili user,sijajua ana maana gani,rudi kwenye sridi ileee ya kijana aliyeshindwa kuruka UKUTA ila KARIBU
B Bajabiri JF-Expert Member Joined Jan 1, 2011 Posts 9,728 Reaction score 1,214 Jul 2, 2011 #4 Sangara said: karibu sana hayati.hizi user names tunakoelekea... Click to expand... nadhan watu wanautumia UHURU wa kuchagua majina.......kesho tutakutana na MAITI
Sangara said: karibu sana hayati.hizi user names tunakoelekea... Click to expand... nadhan watu wanautumia UHURU wa kuchagua majina.......kesho tutakutana na MAITI
kinyoba JF-Expert Member Joined Jun 2, 2011 Posts 1,267 Reaction score 720 Jul 2, 2011 #5 hayati........... Duh, hili jina sio! Ila karibu jamvini utakua unatupatia updates za marehemu huko walipo!
hayati........... Duh, hili jina sio! Ila karibu jamvini utakua unatupatia updates za marehemu huko walipo!
Mshume Kiyate JF-Expert Member Joined Feb 27, 2011 Posts 6,764 Reaction score 908 Jul 2, 2011 #6 Karibu
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,928 Jul 3, 2011 #7 Karibu...
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,832 Reaction score 13,798 Jul 4, 2011 #8 Karibu sana.
AshaDii Platinum Member Joined Apr 16, 2011 Posts 16,189 Reaction score 18,117 Jul 11, 2011 #9 mmmmh! That name... Karibu..
First Born JF-Expert Member Joined Jul 11, 2011 Posts 5,317 Reaction score 1,485 Jul 12, 2011 #10 unatumia kinywaji gani?
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,709 Jul 13, 2011 #11 Hayari, duh, Karibu sana, kutana na First Born wetu chagua kinywaji unachotaka invoice tuma kwa PDIDY atasawazisha.
Hayari, duh, Karibu sana, kutana na First Born wetu chagua kinywaji unachotaka invoice tuma kwa PDIDY atasawazisha.