Hi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hi!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Samir Omar, Apr 8, 2011.

 1. S

  Samir Omar New Member

  #1
  Apr 8, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii mada ingetakiwa ikae vp...
  * ujauzito kabla ya ndoa or
  #mimba zisizo tarajiwa!?
  Wit reaon plz...
   
 2. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #2
  Apr 8, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Mada yenyewe iko wapi???
   
 3. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #3
  Apr 8, 2011
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,096
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Sababu za zinazochangia ujauzito/mimba kabla ya ndoa
   
 4. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #4
  Apr 8, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Kwanza badilisha
  kichwa cha thread sababu
  Inaonekana kama HI ya salamu
  haina nguvu au mwelekeo kabisa..
  yaani hauuzi mada yako vizuri..

  Pili kuna mimba ambazo
  Zimetungwa nje ya ndoa na zilitarajiwa
  I mean wako plan kuwa namtoto

  Tatu ujauzito kabla ya ndo..
  Mmmhhhh sijakupata hapo unauliza nini..

  Nne
  Usinichanganye
  Leo ijumaa..

  Peace
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  Apr 8, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,467
  Likes Received: 4,126
  Trophy Points: 280
  Hii ndio mada??
   
 6. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #6
  Apr 8, 2011
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,096
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  si kataka mawazo maada yake ikaaje na mimi nimempaa mtazamo wangu
   
 7. Wit

  Wit JF-Expert Member

  #7
  Apr 8, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 417
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ungebisha kwanza hodi walau ukasalimia
   
Loading...