mavangahistor
Member
- Oct 14, 2011
- 7
- 0
tupo pamoja ila tu ubize nashindwa kiasi kwamba nilishindwa kuchangia chochote ila niseme tu michango yenu michache ya maoni imefaa wengi akiwepo mimi asanteni sana. Kamvua kanakoendelea hapo nje (karatu) kamji ka vidole 2 kameniwezesha kukaa hizo dkk chache thanx