Kuna vitu vingi vya kushirikishana kwenye maisha apart from kutongozana , tatizo wadada mmekariri kuwa tukiwaomba no za simu tunataka kuwatongoza tu .
Mimi naungana na sayoo hapo juu. Kwa hiyo kama ulikua haujajipanga kuwa na mamba ya Gari hebu itafute leo kwa ajiri ya watu kama hao. Hiyo ya ukweli unipe tu pale ambapo unaona umepata hisia za mtongozo kutoka kwangu!Hii tabia unakutana na mtu kwenye bus mnasalimiana tu baada ya hapo anaomba number ya simu. Hata kanisani unakuta na mtu mnasalimiana hasa wanaume anaomba number. Kwenye seminar, mnamaliza tu seminar unaombwa bumber.
Kwa mtazamaji wangu kutoa number ni kama kumpa mtu go ahead ya mtongozo.
Mnakionaje hili?
Mara paap! Umeombwa namba na Guma!Hii tabia unakutana na mtu kwenye bus mnasalimiana tu baada ya hapo anaomba number ya simu. Hata kanisani unakuta na mtu mnasalimiana hasa wanaume anaomba number. Kwenye seminar, mnamaliza tu seminar unaombwa bumber.
Kwa mtazamaji wangu kutoa number ni kama kumpa mtu go ahead ya mtongozo.
Mnakionaje hili?
Hakuna MTU anaemjua mwenzake mpk muishi miaka minne pamoja ndo utaweza kumjua,sasa unataka miaka minne ipite ndo mpeane namba kwel?halaf kutongozwa au kutongoza ni wewe Mwenyewe kukubali hali hyo,ukimkataa MTU usimkatae kwa maneno maana lazima atakupata tu,Ila mkatae MTU kwa matendo hapo lazima asalim amri,bahat mbaya sikuhiz sitongoz maana Nina mke tayr,Ila kipindi hcho ukinipa namba aiseee sijui utaaanzaje kukataa maana ukinitukana nam nazid kukufurahia,ukiongeza matus mm naongeza maneno matamu ya mahaba,na ole wako nitume SMS ukinijib tu imekula kwako,umri umenienda na sasa vijan wa kizaz kipya ndo wapo kwenye kuyongozana kwa sasaUnaomba number kwa mtu usiemjua? Kama ameolewa atamwambia mumecwake nani anapiga simu