to you tena
si ni mke mwenzio
hapa utajua kibongo tu
OMG, i survived, i am surviving, and i will survive. Thank you for this info.
sijaelewaaaaaaaaaaa
wangejua Bishanga ni bepari aliyefilisika hata wasingepoteza muda. lol
shoga vijisent na mashauzi ya kizee bishanga wctu wanakuja na multiple ids
U hali gani wewe binti?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
wamekusikia watakuja, ngoja nimuite beste wangu waukwee Heaven on earth, pacha wangu Passion Lady na brother angu wa damu figganigga pamoja na mupenzi wangu Arushaone waje wamkaribishe
Nakutafuta ujue. Jisalimishe mwenyewe
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Hello guys, this is an introductory note from Mrs Bishanga. I love you all is all i can say for now. Collaboratively will make CCs a better place for everyone. Just take me as I am.
Thanks.
Kudadadadaaaaaaadeeeki sikuwa nimemuona huyu mtu, zile nyumba ndogo za Bishanga sijui zitajificha wapi...!!Hello guys, this is an introductory note from Mrs Bishanga. I love you all is all i can say for now. Collaboratively will make CCs a better place for everyone. Just take me as I am.
Thanks.
Ha ha ha haaah!! Bora wake halali wajitokeze ili na sisi mabachela tupate wake, maana hawa wenye nyumba ndogo ndio walikuwa wanaharibu. wake zao wakitia timu humu huenda nyumba ndogo zitakuwa vacant...tutashuhudia mengi mwaka huu
huku ndoa zinavunjika
huku wake halali wanaibuka
Hebu peana na mimi address yake fastauna mtu anahitaji ukaguzi
Kudadadadaaaaaaadeeeki sikuwa nimemuona huyu mtu, zile nyumba ndogo za Bishanga sijui zitajificha wapi...!!
pacha mbona hii hatari
asijetokea mrs Ruttashobolwa bure!
sijambo, mamboz? upo?
hahahaaa umeonaeee, sasahivi wa ukweli wanaibuka, The secretary akijitahidi kupambana nae huku Mamndenyi akifuata nyuma, Madame B nae akiishia kuchungulia dirishani wakati Zahra White bado taarifa hazijamfikia, Bishanga nae amekosa cha kuongea amebaki anatahamaki, mke kavamia mtandao......
Ha ha ha haaah!! Bora wake halali wajitokeze ili na sisi mabachela tupate wake, maana hawa wenye nyumba ndogo ndio walikuwa wanaharibu. wake zao wakitia timu humu huenda nyumba ndogo zitakuwa vacant...