umemuona Mrs Bishanga weye au unapita tu bila kuangalia pembeni?
mi niko poa kabisaa...... Sijui wewe uliyembali na upeo wa macho yangu!!!!
Ni kama mimi Lady doctor....ngoja tuone mwisho wake utakuwaje?
hapishi mtu hapa wake akiwa kwake
Ahaha me is The secretary you coming from america is good ,africa is biulifu biulifu jesus is good america good good ,San antonio is biulifu biulifu OBAMA atanikoma
nakupendea hapo dia
The secretary uko juu..apo lazima waelewe
Mbona nitaenda kufundisha kiinglish marekani
....na bado mvua isinyeshe!Mwaka huu tutaona rangi zote za kwenye upinde wa mvua.
Lady doctor nimemuwona bana Mrs Bishanga anakuja na swagga za kiingletha
manoah niko salama kabisa aise za kwako wewe
...na mtabanana hapo hapohapishi mtu hapa wake akiwa kwake