Huu si wakati wa kutudanganya,akilini mwetu tunajua nini tunafanya tulipofikia Chadema ni maendeleo makubwa.Hata kama itafanyika miafaka 40 sera za chama chetu ndio nguvu yetu,viongozi wetu msitetereke kazeni buti mipango ni ileile,ipo siku ccm itaondoka madarakani kabisa.mlipotufikisha panatia moyo.Dr.Slaa wewe ni Kichwa pamoja na viongozi wengine wote....