Hezbollah's heavy missile launches at Israel

Hezbollah's heavy missile launches at Israel

Hivi siku Israel nayo ianze kurusha marocketi hovyo kama Hamas na Hezbollah patakalika Beirut kweli?

Kinachonishangaza IDF wakikamata mitambo ya rocket ya Hamas wanaiteketeza tu hata viwanda vya silaha navyo wanaviharibu tu.. I Don't know why.. na kwa Hezbollah wanaviripua tu.

Dawa ya gaidi mpige kigaidi tu na yeye
Israeli itageuzwa kama ghaza soon

Hezbollah sio hamas
 
Wauaji wa Yesu wanapoungwa mkono na so called mkristo.Inatia huruma huyu hajui hata anaunga mkono kwanini.Kufuata bendera.Eti shetani Russia!Na malaika ni nani?Atakujibu USA.
Death does not affect the dead ones but it affects those who are alive, so is stupidity.
Huyo Yesu anakuuma utadhani unakijua kile kilimleta na alipaswa apitie nini
 
Kufa kwa Yesu msalabani kumeleta wokovu mpaka wewe TUI ukiamini unaokolewa, Paulo alikuwa myahudi alilitesa sana kanisa na bado alipata neema ya wokovu na kusamehewa na ndiye aliyehubiri sana habari za Yesu Kristo kwenye dunia ya wakati ule.
Kwa hiyo kwa baadhi ya wayahudi kumuua Yesu hakujawahi kumfanya Mungu kuikataa Israel mazima infact Israel kuwa taifa tena ezekiel alishasema na imetukia baada ya maelf ya miaka kupita. Na very soon Yesu anaenda kutawala dunia nzima akiishi Yerusalem Israel.
Ichukie Israel unavyoweza jilipue hata na mabomu kamwe haitokwamisha ahadi za Mungu kutimia kwao na wala upendo wa Mungu kwa Israel haupoi.
Najua we ni mzao wa Ishmael na unaumia kwelikweli ila ndo hivyo tena.
Yaani afe yesu ili wewe upate wokovu?, haya nambie leo hii ukiua utakuwa huna dhambi?, hicho kitu ni uongo na kama ni kweli basi mungu angesha watoa mitume yake watangulizi kama mussa nk au angekubali Ismael afe au hyo mnaye Mtaka isaka afe
 
Huyo Yesu anakuuma utadhani unakijua kile kilimleta na alipaswa apitie nini
Hyo hakimuumi kitu ana eleza tu ukweli, alafu mkuu hyo yesu wako mbona kafeli Sana ktk jamii yake according to bibilia, maana mpaka wanamuua majority hawakumkubali na hakuwa na impact islael hadi leo tunashudia huko islael kuwa ukristo sio dini kubwa,bali ni dini ya mussa (Judaism, Zionist)
 
sheikh ubwabwa kwa kuropoka unajitahidi ukiendelea kukazana hivi utakuwa mwanataarab mzuri
Hivi ujue we jamaa hujajistukia tu.
Huwaga una conspiracy za ajabu ambazo ukiambiwa uzi prove unashindwa.
😂😂😂😂Aisee unatia sana huruma.
 
Leta ushahidi ni wakati gani Paulo alikuwa mfuasi wa Yesu.Walikutana ?alikuwepo kwenye wale 12?Paul alichomoka kutoka kuwa gentile najua hujui hata ina maana gani na kuanzisha propoganda ya kutokewa na Yesu kwenye ndoto.Rudi Sunday School wewe bado sana.
Huyo kaka hakuna kitu atakuletea ushahidi.
Huwa ana nadharia zake sijui huwa anazitoa wapi.
Aliwahi kuleta nadharia kuwa super power ajaye ni himaya ya Roman/Byzantine ambayo itafufuka.
Sasa ukimuuliza embu tuelezee mlolongo itafufukaje hiyo dola ya kirumi.
Hakupi jibu atafanya tu personal attack na kukwambia "hujui kitu hauna upeo wa kuona mbali".😂😂😂😂😂Sasa unajiuliza hee kuona mbali huko mbona hakuna mantiki kwake!?
 
Guys,
Hakuna uhusiano wa vita hii na dini yeyote hivyo mnaojadili ukristo vs uislamu ni out of context kabisa. Hii ni vita kati maisha na kifo Kila upande kutetea mipaka yake na haki ya kuishi.

Tukitambua wazi mchokozi ni Israel siku zote tangu 1948. Hivyo kuongea ukristo na uislamu ni ujinga wa kiwango Cha Sarmat.
 
Safi sana, mlaumu aliyeleta udini ktk mada hii
 
Kufa kwa Yesu msalabani kumeleta wokovu mpaka wewe TUI ukiamini unaokolewa, Paulo alikuwa myahudi alilitesa sana kanisa na bado alipata neema ya wokovu na kusamehewa na ndiye aliyehubiri sana habari za Yesu Kristo kwenye dunia ya wakati ule.
Kwa hiyo kwa baadhi ya wayahudi kumuua Yesu hakujawahi kumfanya Mungu kuikataa Israel mazima infact Israel kuwa taifa tena ezekiel alishasema na imetukia baada ya maelf ya miaka kupita. Na very soon Yesu anaenda kutawala dunia nzima akiishi Yerusalem Israel.
Ichukie Israel unavyoweza jilipue hata na mabomu kamwe haitokwamisha ahadi za Mungu kutimia kwao na wala upendo wa Mungu kwa Israel haupoi.
Najua we ni mzao wa Ishmael na unaumia kwelikweli ila ndo hivyo tena.
Kwa iyo waisraeli ni wakristo na sio wayahudi tatizo lenu amjui mshike lipi ukiukubali uyahudi maana yake umeukana ukristo wako na
 
Kama yangekuwa manati Waisraeli >280,000 wasingekuwa kwenye bunkers mkuu na Northern Israel isingekuwa tupu.
wewe ni mjinga, hata unavyosema "wasingekua kwenye bunkers" inaonyesha superiority ya Israel dhidi ya hao maarabu ndani ya mashimo kama kenge,
 
Kwa iyo waisraeli ni wakristo na sio wayahudi tatizo lenu amjui mshike lipi ukiukubali uyahudi maana yake umeukana ukristo wako na
We maamuma israel kuna wakristo wengi tu, na kuna wa dini ya kiyahudi pia wrngi ti tatizo lako umekaririshwa pumba za madrasa nawe unazitapika
 
wewe ni mjinga, hata unavyosema "wasingekua kwenye bunkers" inaonyesha superiority ya Israel dhidi ya hao maarabu ndani ya mashimo kama kenge,
Unaropoka nini?
Mbona kama umelewa chang'aa??
Kata kilevi ulichokunywa kwanza ndio uingie kwenye mada usituandikie matap tap.
Kama Israel ana superiority mbele ya waarabu asingekua anahangaika kupewa msaada na Marekani.
 
We maamuma israel kuna wakristo wengi tu, na kuna wa dini ya kiyahudi pia wrngi ti tatizo lako umekaririshwa pumba za madrasa nawe unazitapika
Hivi unajua kama Israel waislam wengi kuliko wakristo??
Hivi unajua Israel kama wanayachukia makanisa kuliko misikiti?
 
Back
Top Bottom