Leta ushahidi ni wakati gani Paulo alikuwa mfuasi wa Yesu.Walikutana ?alikuwepo kwenye wale 12?Paul alichomoka kutoka kuwa gentile najua hujui hata ina maana gani na kuanzisha propoganda ya kutokewa na Yesu kwenye ndoto.Rudi Sunday School wewe bado sana.Kweli we maamuma, Paulo hakuwa kuwa mfuasi wa Yesu???? 🤣🤣🤣🤣 ndivyo imani ya kishetani ya kiishmael inavyokudanganya nawe hata kujiongeza holaaaa unameza unachoongopewa kama kilivyo