Hezbollah's heavy missile launches at Israel

Tahadhari ni muhimu ewe kobazi
Wamekimbia kujificha baada ya kuona makombora yanaleta maafa.
Mbona rocket za hamas walikua hawaendi kujificha??
Tena walikua wanapiga picha iron dome inavyofanya kazi.
Ila Hizbollah ana vitu vizito.
 
KUmbe unakuwaga mjingga kana cheusi?
Umeona wapi silaha iliacha kuovopwa na raia?
Je na jeshi limejificha?
Kwani kurusha kombora ndio ushindi?
Subirini ndg zenu wenye ndevu chafu waje kupewa majibu yao muanze kulialia hapa
 
kingine iko kambin kbsa
 
Attachments

  • 20240923_074744.jpg
    20240923_074744.jpg
    111.7 KB · Views: 14
KUmbe unakuwaga mjingga kana cheusi?
Umeona wapi silaha iliacha kuovopwa na raia?
Je na jeshi limejificha?
Kwani kurusha kombora ndio ushindi?
Subirini ndg zenu wenye ndevu chafu waje kupewa majibu yao muanze kulialia hapa
Usome kwa umakini kenge maji wewe.
Kama anga lina ulinzi thabiti basi kunakua hakuna haja ya raia kujificha.
Chukulia mfano Kiryat shmona raia walikua hawakimbii popote licha ya kusikia air siren kwasababu iron dome ilikua inamudu ku intercept maroketi takriban yote ya Hamas.
Ila kwa Galilaya na kaskazini mwa Israel kumekua tofauti iron dome imeonesha kufeli kuzuia makombora ya Hizbollah ndio maana raia wanakimbilia katika bunkers kujificha.
Sijui hata huwa unaelewa wewe!??
Jeshi linajifichaje ilhali wao ndio wa kutizama wanazuiaje mashambulizi!??
Bro are you flicking mad or what!?
 
Leta ushahidi ni wakati gani Paulo alikuwa mfuasi wa Yesu.Walikutana ?alikuwepo kwenye wale 12?Paul alichomoka kutoka kuwa gentile najua hujui hata ina maana gani na kuanzisha propoganda ya kutokewa na Yesu kwenye ndoto.Rudi Sunday School wewe bado sana.
Acha kudanganya na kuzuzua watu Paulo hakuwa mwanafunzi bali ni Messenger, Quran yenu ya Allah inasema Paul ni Mtume wa Yesu na sio Shetani lenu Allah Bulus ni Kiarabu kwa jina la Paulo katika mji wa Antokia.. Nikiacha muslim aondoke na uongo na urang'ai kama Allah wenu bingwa la kudanganya linajisifia eti lilidanganya wayahudi kua lilimuepusha Yesu asisurubiwe.

You are reading a tafsir for the group of verses 36:13 to 36:17

إِذْ أَرْسَلْنَآ إِلَيْهِمُ اثْنَيْنِ فَكَذَّبُوهُمَا
(When We sent to them two Messengers, they denied them both😉 means, they hastened to disbelieve in them.

فَعَزَّزْنَا بِثَالِثٍ
(so We reinforced them with a third,) means, `We supported and strengthened them with a third Messenger. ' Ibn Jurayj narrated from Wahb bin Sulayman, from Shu`ayb Al-Jaba'i, "The names of the first two Messengers were Sham`un and Yuhanna, and the name of the third was Bulus, and the city was Antioch (Antakiyah).

فَقَالُواْ
(and they said) means, to the people of that city,

إِنَّآ إِلَيْكُمْ مُّرْسَلُونَ
(Verily, we have been sent to you as Messengers.) meaning, `from your Lord Who created you and Who commands you to worship Him Alone with no partners or associates.' This was the view of Abu Al-`Aliyah. Qatadah bin Di`amah claimed that they were messengers of the Messiah, peace be upon him, sent to the people of Antioch.

((Tulipowapelekea Mitume wawili wakawakadhibisha) maana walifanya haraka kuwakufuru.
فَعَزَّزْنَا بِثَالِثٍ

(Basi tukawatia nguvu kwa wa tatu) maana yake: Tuliwasaidia na tukawatia nguvu kwa Mtume wa tatu. Imepokewa kutoka kwa Ibn Jurayj kutoka kwa Wahb bin Sulayman kutoka kwa Shu’ayb Al-Jaba’i akisema: “Majina ya Mitume wawili wa mwanzo ni Sham’un(Simon Peter) na Yuhanna(John Yahya), na jina la wa tatu ni Bulus(Paul), na mji huo ni Antioch (Antakiyah). )
فَقَالُواْ

(na wakasema) maana yake ni kwa watu wa mji huo.
إِنَّآ إِلَيْكُمْ مُّرْسَلُونَ

(Hakika sisi tumetumwa kwenu kuwa ni Mitume) maana yake, `kutoka kwa Mola wenu Aliyekuumbeni na Anayekuamrisheni kumwabudu Yeye Peke Yake bila mshirika wala mshirika. Haya ndiyo yalikuwa maoni ya Abu Al-`Aliyah. Qatadah bin Di`amah alidai kwamba walikuwa ni wajumbe wa Masihi, amani iwe juu yake, waliotumwa kwa watu wa Antiokia.
 
Israeli itageuzwa kama ghaza soon

Hezbollah sio hamas
Ghaza ndio nini? au ndio mnaubatiza jina la kiarabu mnadhani mtafuta Historia ya Taifa la Israel na Miji yake? tokea enzi na enzi mji unaitwa Gaza Strip yaani Ukanda wa Gaza even Jesus katoa Dawah sana
 
Hivi unajua kama Israel waislam wengi kuliko wakristo??
Hivi unajua Israel kama wanayachukia makanisa kuliko misikiti?
Sasa why mnawachukia... kuna Arab Israel huwa anazunguka sana duniani kuwaelewesha wajinga wanaoandamana na kupiga kelele Free Palestina kwani wanajenga chuki kwao dhidi ya Jews ambao wanaishi nao maisha mazuri so mikelele ya dunia ikiwa mingi watoto GenZ wanakua na kiburi shida inaanza.

Unakuta mtu wa Kwa mnaymani anasema anaichukia sana Israel
 
Acha kudanganya na kuzuzua watu Paulo hakuwa mwanafunzi bali ni Messenger, Quran yenu ya Allah inasema Paul ni Mtume wa Yesu na sio Shetani lenu Allah Bulus ni Kiarabu kwa jina la Paulo katika mji wa Antokia.. Nikiacha muslim aondoke na uongo na urang'ai kama Allah wenu bingwa la kudanganya linajisifia eti lilidanganya wayahudi kua lilimuepusha Yesu asisurubiwe.

You are reading a tafsir for the group of verses 36:13 to 36:17

إِذْ أَرْسَلْنَآ إِلَيْهِمُ اثْنَيْنِ فَكَذَّبُوهُمَا
(When We sent to them two Messengers, they denied them both😉 means, they hastened to disbelieve in them.

فَعَزَّزْنَا بِثَالِثٍ
(so We reinforced them with a third,) means, `We supported and strengthened them with a third Messenger. ' Ibn Jurayj narrated from Wahb bin Sulayman, from Shu`ayb Al-Jaba'i, "The names of the first two Messengers were Sham`un and Yuhanna, and the name of the third was Bulus, and the city was Antioch (Antakiyah).

فَقَالُواْ
(and they said) means, to the people of that city,

إِنَّآ إِلَيْكُمْ مُّرْسَلُونَ
(Verily, we have been sent to you as Messengers.) meaning, `from your Lord Who created you and Who commands you to worship Him Alone with no partners or associates.' This was the view of Abu Al-`Aliyah. Qatadah bin Di`amah claimed that they were messengers of the Messiah, peace be upon him, sent to the people of Antioch.

إِذْ أَرْسَلْنَآ إِلَيْهِمُ اثْنَيْنِ فَكَذَّبُوهُمَا

((Tulipowapelekea Mitume wawili wakawakadhibisha) maana walifanya haraka kuwakufuru.
فَعَزَّزْنَا بِثَالِثٍ

(Basi tukawatia nguvu kwa wa tatu) maana yake: Tuliwasaidia na tukawatia nguvu kwa Mtume wa tatu. Imepokewa kutoka kwa Ibn Jurayj kutoka kwa Wahb bin Sulayman kutoka kwa Shu’ayb Al-Jaba’i akisema: “Majina ya Mitume wawili wa mwanzo ni Sham’un(Simon Peter) na Yuhanna(John Yahya), na jina la wa tatu ni Bulus(Paul), na mji huo ni Antioch (Antakiyah). )
فَقَالُواْ

(na wakasema) maana yake ni kwa watu wa mji huo.
إِنَّآ إِلَيْكُمْ مُّرْسَلُونَ

(Hakika sisi tumetumwa kwenu kuwa ni Mitume) maana yake, `kutoka kwa Mola wenu Aliyekuumbeni na Anayekuamrisheni kumwabudu Yeye Peke Yake bila mshirika wala mshirika. Haya ndiyo yalikuwa maoni ya Abu Al-`Aliyah. Qatadah bin Di`amah alidai kwamba walikuwa ni wajumbe wa Masihi, amani iwe juu yake, waliotumwa kwa watu wa Antiokia.
Wewe upo huna unalolijua na kwa akili zenu zilivyo ndogo hivi, je wataachaje ku waibia huko hekaluni?, na watawaigizia sana na kuchukua pesa zenu huku nyinyi mnaona

Mmesha zoeza ku igiziwa hekealuni watu watajirike, huna unalolijua,
3:15 wagalatia hapo ndipo mlipo ingizwa kingi na uki elewa alicho kisema huyo paulo basi utajua kwa nini hicho kitabu si chakweli bali utashi wa mtu (Paulo na wenzake)
 
Back
Top Bottom