Hezbollah waliendaga wapi? Netanyahu aongezwe kwenye biblia

Hezbollah, waliishiaga wapi? Hawa watu liaminishwa ni hatari kuliko Hamas
Ushauri wangu kwako,kabla hujaandikabkitu fanya utafiti ujue hizbollah ni kina nani,ni kwanini waliibuka,je wanapigania nini,na mpaka sasa wamefanya nini.Je huko Lebanon wamefanya nini mpaka sasa.Unapopata taarifa za kutosha za pande zote ndipo uandike unachotaka kuandika
 
Acha kulalamika wakati Hezbollah walipigwa!! Kama ni ushauri kawape Hezbollah maana sasa hivi wanapigwa kama Ngoma!!!
 
Hata hao Hezbollah bila msaada wa Iran, sio kitu, hawana lolote la kuwatishia Israel hata kama hawasaidiwi na US.

Vv
 
Ulivyo mjinga hata hujui kuwa Marekani na Israel ni Washirika!!
Ndio sababu Israel anatufata scandal kumbe washirika afu anafanya ujasusi kumchunguza US kumbe washirika kweli we kuosha vyoo kule Tela Aviv panakufaa sana wala wasikufukuze.
 
Kwa kuwa wewe nini shoga hivyo unafikiria wote ni Mashoga kama wewe ulivyo!!!!!

Unashabikia mashoga tukuone vipi kijana wewe ???


Your browser is not able to display this video.
 
Israel alivyokosa akili, siku ya mazishi ya majivu ya kiongozi wao akapita na ndege zake za kivita๐Ÿ˜€
Myahudi anakupokea Kama unavyokuja. Ukija kigaidi anakupokea kigaidi zaidi ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†.
 
Nakumbuka tu viongozi wao wakuu walifyekwa mmoja baada ya mwingine, kwasasa kiongozi wao mkuu alirejea uongozini kutoka ustaafu!.
 
Kile kwa mudi yale mandishi ua kiarabu mnayosoma toka kulia kwenda kushoto nasikia alaa alidondondosha ila uislam bwana kwahiyo mungu alidondosha kitabu
Ahha Hilo kwenye biblia linawezekana mbona.
Ndo uzuri wa bible una edit tu unatoa copy
 
Kile kwa mudi yale mandishi ua kiarabu mnayosoma toka kulia kwenda kushoto nasikia alaa alidondondosha ila uislam bwana kwahiyo mungu alidondosha kitabu
Dondosha na wewe kama kile tuone
 
Myahudi alifyeka uongozi mzima wa Hezbollah ndani ya week mbili. Fanya mchezo nini?!
Hii ni statement imetolewa na muyahudi kuhusu Hezbollah wewe wa nanjilinji unasema Hezbollah hawapo

๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธโŒ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท Reuters, citing two high-ranking Lebanese officials, states that Israel has conveyed a message to Lebanon warning that it will carry out extreme strikes in Lebanon, including on civilian infrastructure and Beirut airport if Hezbollah intervenes in any war between the United States and Iran.

@Palestine_Updates
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ