hey

hey

kimbendengu

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
8,424
Reaction score
16,204
nilikuwa na install instagram wakati naendelea nikaambiwa nichague file mimi nikachagua memory
card baadae nilimalizadownload ilipomaliza nikaambiwa fungua nilipofungua nikaambiwa file not supported nikajaribu file lingine yalikuja maneno yaleyale sasa naomba kuelekezwa simu yangu ni nokia asha 311
 
Back
Top Bottom