ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,772
- 6,555
Huwa najiuliza,nyie wanawake mnadai haki sawa,kuna eneo sijasikia mnalizungumzia liondoke,suala hilo ni kuwa;Mwanamke anapoolewa kwanini anabadili ubini?Hii si inakua kama "Umemilikiwa"?Unakuta anaitwa Lydia James Rweyemamu,akiolewa na John Bernad Mushi,anaitwa Mrs Mushi au Lydia Bernad Mushi,Why?Au eneo hili kwenu ni poa?
ukiona mwanamke anabaki na ubini wake ujue kabisa huyo mama ni mtata na hakubaliani na swala la kupewa jina la mumewe..