Hey wanawake msije mkasema Sijawaambia

Hey wanawake msije mkasema Sijawaambia

Perfect.... Iyoiyo geuzia kwa wanaume
Hiyo inaaply kwenu tu, sijawahi ona kidume kinachokataa mautundu yasiyovuka mipaka, hope umeelewa nnachomaanisha
 
Mh nimesoma nikahis kama ndo unafanya matusi vile !
 
Unataka kupiga mate na kinywa chako unatoa harafu chafu, unataka akwambie moja kwa moja..!?
Wat if chako ndiyo ndiyo kinatema??? Hapo nitafanya kama JOTI babdle langu linachacha..!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom