Hey Ladies & Gentles

ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
14,699
9,461
Mamboz wote mlioko ndani humu
Nawakaribisha kesho nina function ndogo ya kuongezewa miaka mingine ya kuishi
yaani kesho ndo BIRTHDAY yangu, naitaji ukaribu wenu
Yrs so welcome:A S 103::dance:
 
UMEINGIA JUNIOR KARIBU UTAKUWEPO KATIKA FUNCTION YANGU HAPO KESHO?:mimba:
 
Hey waungwana nisaidieni mbona siielewi hii column hey! Pls nijibu
 
Mwenzenu nimechanganyikiwa sioni kuingia nipost au inakuweje nisaidieni?
 
1) Tofauti na FB, unachobandika humu hakitokei kama 'status'.
2) Hili ni jukwaa la utani/vichekesho, siyo pahala pa besdei!
3) Kuna jukwaa linaitwa 'Member intro', ingia humo, bisha hodi kisha mengine mengi yatafuta.
4) Unapoingia siyo lazima wala muhimu kuchangia chochote; soma, tafakari, cheka, kasirika, vyovyote mchango wako unathaminiwa
 
mkuu kumbe unatumia mobile...nimekosa kile kitufe cha "like"
1) Tofauti na FB, unachobandika humu hakitokei kama 'status'.
2) Hili ni jukwaa la utani/vichekesho, siyo pahala pa besdei!
3) Kuna jukwaa linaitwa 'Member intro', ingia humo, bisha hodi kisha mengine mengi yatafuta.
4) Unapoingia siyo lazima wala muhimu kuchangia chochote; soma, tafakari, cheka, kasirika, vyovyote mchango wako unathaminiwa
 
Just like a kidden show when i flow ni**az know its atime take a hike
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom