Heti mgojwa ,mwenye nguvu hivi?

Heti mgojwa ,mwenye nguvu hivi?

tamimusalim

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
1,822
Reaction score
501
ImageUploadedByJamiiForums1443407769.566171.jpg
 
Mzee wa watu haitaji kupiga push ups na kurukaruka jukwaani ili kuthibitisha bado ana nguvu zilizobaki kwa umri wake. ...
 
Mungu atawajibu hao wanaotabiria wengine umauti.tena atajibu kwa moto.tusubiri tutaona ,ndipo tutakapotambua kuwa atupatiaye uhai na mwenye uwezo wa kuutoa ni yeye.
 
Kwani uongo haumwi?? Kufa wote tutakufa kwa ugonjwa au ajali au kifo cjhpochote lakini hilo haliwezi kuzuia tusiseme fulani mgonjwa...huyo EL ni mgonjwa ila ugonjwa sio kifo.
 
Jamaa walisema mkono huo mtoto amekalia ni dhaifu, sasa anawezaje kubeba uzito wote huo?
 
Back
Top Bottom