bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 8,094
- 7,854
Hii picha naipenda sana...
Ukipenda chongo utaona ni kengeza.
Hii picha naipenda sana...
6. wamegundua kuwa wakiendelea kutawaliwa na ccm basi mgao wa umeme utaendelea hivihivi huku gesi ikiuzwa nje!
7. wamegundua ahadi za wagombea wa ccm ni zilezile na hazitatekelezwa mpaka yesu arudi!
9.wamegundua tumaini lao jipya ni Ukawa na mkombozi wao ni Lowassa!(jiwe walilolikataa waashi!)
Wee kampe kibwenye halafu uje na feedback hapa right away.
Ukipenda chongo utaona ni kengeza.
ccm wamegeuka miungu watu...
Wanatabiria watu vifo kila kukicha.
Kwani vipi bibie?Nikipenda mimi wewe kinakuuma nini?