Jamaa walisema mkono huo mtoto amekalia ni dhaifu, sasa anawezaje kubeba uzito wote huo?
Hicho kitoto kina uzito gani? Hata haya huoni?
Apige push-ups.
Wee kampe kibwenye halafu uje na feedback hapa right away.
Lol!!!
Lol!!!
WATANZANIA WAMEAMKA SASA:CCM PEKEE NDIO TEGEMEO
1.-Wamegundua CCM hakuna UDINI
-Ukawa ni UDINI dhehebu la EL na Maaskofu 2 ndio VINARA wao
2.-Wamegundua CCM hakuna UKANDA
-Ukawa sasa UBAGUZI wa KIKANDA unashamiri sana.
3.-Wamegundua CCM tunaongozwa na SERA SAHIHI
-Ukawa ni MAHABA yasiyoeleweka,watu wanalipwa kuhudhuria
mikutano.
4.-Wamegundua CCM inafanya siasa za ki-staaarabu.
-Ukawa makundi ya FUJO yamejitokeza sana,hakuna ustaarabu.
5.-Wamegundua GESI,Utawala BORA utainua UCHUMI wetu
-Ukawa kuna Matajiri 5, watagawana NCHI ili kurudisha pesa
zao.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
Hapo teja lishakandamiza madawa.

Hivi Umeaza Lini Kazi Ya Kua Msemaji Wa Watanzania??
We tanua vizuri mti ukuingie
Acheni tabia yenu ya kusomba watu kwa matrekta kupeleka kwenye mikutano,hawa ni watu na siyo nguruwe,heshimuni haki za binadamu please!!!