Heslb waachia majina ya walio appeal

Chura

JF-Expert Member
Sep 22, 2009
1,376
2,389
Hatimaye kile kilio cha wengi sasa kimepata ufumbuzi bodi ya mkopo ya elimu ya juu nchini Tanzania HESLB imeachia majina ya awamu ya kwanza ya wanafunzi waliopata mikopo baada ya kuappeal kuna uwezekano kukawa na awamu ya pili na ya tatu kwa hiyo usipoliona jina endelea kumtumainia bwana wa majeshi(MUNGU) kama ipo ipo tu

kuangalia majina hayo fuata link hii

LIST OF SUCCESSFUL LOAN APPELLANTS 2016/2017

au

http://olas.heslb.go.tz/downloads/Successful_Appellants_2016_2017.pdf
Kweli!??walisema hakuna awamu zingine
 
Hivi allocation za waliopata mkopo baada ya appeal huwa inatoka kwa muda gani jamani?
 
Hivi allocation za waliopata mkopo baada ya appeal huwa inatoka kwa muda gani jamani?
Hii thread inanihusu sana, nina wategemezi wawili ambao tayari nilishaanza kukomaa namna ya kuwalipia ada Semester ya pili sasa, wazazi wao walifariki kwa ajari kwa pamoja kilicho wa-cost ni kwamba wazazi wao waliwapeleka O-Level shule za private, walifanya vizuri O level kutokana na kwamba wazazi walifariki ikabidi waende shule za Serikali wakasome A-Level kwahiyo kosa lao mwanzoni lilikua ni kwanini walisoma private O-Level?
 
Back
Top Bottom