HESLB toeni loan allocation

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,358
6,422
Jamani toeni loan allocation tuweze kujipanga kama mtu hakupata. Maana inaweza ikabidi mtu abadili kozi. Ni rahisi kulipa kozi ya 1.3 M kwa law UDSM, etc kuliko kulipa milioni tano medicine CUHAS, KCMC, IMTU etc. Naweza acha medicine kama sikupata mkopo.
 
KWA HIYO WEWE UNASOMA MEDICINE KWA AJILI YA MKOPO??? kwel hili janga la tcu..kumbuka M.D ni kipaj sio kutafuta pesa!!!! USHAUR..kama unauenda med kwa ajili ya loan ndugu umepote!!!
 
Mkuu nakuunga mkono asilimia mia moja.Wanatakiwa watujulishe mapema ili mtu uanze kujipanga mapema kotokana na kiasi utakachopewa.Hii delay ni kero sana.

Hata kama kuna waliokosea sio sababu ya wao kushindwa kutoa loan allocation kwa wale waliokuwa hawana makosa kwenye form zao.Mbona TCU wametoa selection japo kuna wengine walitakiwa kurekebisha taarifa zao.
 
Wengine tunatoka familia maskini, kozi za hela nyingi bila mkopo hatuwezi jamani, tuambie tujipange mapema!
 
KWA HIYO WEWE UNASOMA MEDICINE KWA AJILI YA MKOPO??? kwel hili janga la tcu..kumbuka M.D ni kipaj sio kutafuta pesa!!!! USHAUR..kama unauenda med kwa ajili ya loan ndugu umepote!!!

No we hujaelewa, napenda medicine na nimepata, lakini kama haina budi itabidi niiache maana sitaweza lipa hela kubwa. huwezi kwenda Med. kwa kutafuta mkopo, never on earth! Zipo kozi za hela ndogo lakini sio upendeleo wangu! Ualimu nigeliweza kwenda vizuri lakini sijapenda. Hata SUA BVM naqualify, lakini sipendi hiyo!
 
admitted....
 
Jamani toeni loan allocation tuweze kujipanga kama mtu hakupata. Maana inaweza ikabidi mtu abadili kozi. Ni rahisi kulipa kozi ya 1.3 M kwa law UDSM, etc kuliko kulipa milioni tano medicine CUHAS, KCMC, IMTU etc. Naweza acha medicine kama sikupata mkopo.

true talk mkuu..medicine bila mkopo inabidi uwe umejipanga kweli kweli..watoe tu mapema watu tujue tunjipangaje..
 
to be honest sijui hali ya loan this yr itakuaje!!! tukumbuke sana ile mambo ya priorit and non priorit...afu ulivokua unajaza programs pale chin kabisa zile sehem unaweka tiki mbili....dah...sijui na sintajua mpaka watoe allocation za loan!!!!
 
Na huu ubadhirifu itseems these peole are not serious. Mwakyembe aende huko akapapangue. Hapafai kabisa!
 
Me hata ckujisumbua kuapply huo mkopo wao,maana nilijua ya kwamba program yangu niliyokuwa naitaka ni ya non priority..so mkopo ctapata,bora 2 familia yetu ijinyime me nkasome bana.
 
Niulizeni mimi loan board nawajua vizuri sanah!! nilipata div . 1 form four nikapata div. 1 form 6..nilisoma shule za serikali o-level na a-level na mkopo wakaninyima na chuo nasoma kama kawaida!!! NARUDIA TENAH LOAN BOARD SIO WATU WAZURI!!
 
Bhaaaaaaaaass...!
 
post za watu wengine humu zinanitia moyo,nyingine zinanikatisha na kuniongezea presha siku baada ya siku. Ila naamini mambo yatakuwa out mpaka ijumaa,au mapema wiki ijayo.
 
Back
Top Bottom