HESLB mwogopeni Mungu. Ku-apply 87,100, mkopo 77,100

HESLB mwogopeni Mungu. Ku-apply 87,100, mkopo 77,100

Kwa stail hii ya kubana matumizi tusubiri hivyi vyuo kuwa kama boarding school.. yaani hupewi hata sent tano hukohuko utapata sare, chakula na kitanda na vitabu... kwisha...
 
HESLB hii bodi ya mikopo inaongeza idadi ya malaya mtaani kwa huu &*^%$^$^ wao wanaoufanya kwa sasa....
 
Kwa stail hii ya kubana matumizi tusubiri hivyi vyuo kuwa kama boarding school.. yaani hupewi hata sent tano hukohuko utapata sare, chakula na kitanda na vitabu... kwisha...
ni bora wafanye hivo wote tujue moja kuliko huu upuuzi unaoendelea kufanyika.......
 
Huu ni utani ama umekosea kuandika? 77,000 au 7,770,000/- ? Elfu 77 inatosha hata wiki moja?!
 
Najaribu kufanya hesabu hii rahisi, lakini inashindwa kuingia akilini

Gharama za kuomba Mkopo;
Application 30,000
Internet 2000
Passport 5000
Mahakamani 20,000
Ofisi ya Kijiji 10,000
Printing 5000
Bodaboda 2000
Ems 13100
Jumla 87,100

Mkopo 77,100

Heslb hebu kuweni na huruma japo kidogo kwa sisi watoto wa wakulima[emoji26] [emoji26]
Tumeambiwa tutaishi kishetani na john
 
Nafikiri ni jumla tu ya ile 30,000 yakuomba mkopo ndo imekusanya hao wachache wanapewa kama mkopo maana ni hatari sana
 
Najaribu kufanya hesabu hii rahisi, lakini inashindwa kuingia akilini

Gharama za kuomba Mkopo;
Application 30,000
Internet 2000
Passport 5000
Mahakamani 20,000
Ofisi ya Kijiji 10,000
Printing 5000
Bodaboda 2000
Ems 13100
Jumla 87,100

Mkopo 77,100

Heslb hebu kuweni na huruma japo kidogo kwa sisi watoto wa wakulima[emoji26] [emoji26]
kwanza mi ningependa utujulishe tu kua kwani mwaka jana walitoa tsh ngapi mana icjekua mwaka uliopita walitoa chini ya apo afu si tukawa tunalaumu tu, mwenye kujua atujuze plz
 
Ila mi nadhani hizo ni code tu za mahitaji na siyo uhalisia wa fedha.
 
Hivi ni tunabana matumizi au tunabanwa na matumizi? [emoji27]
 
Back
Top Bottom