HESLB mwogopeni Mungu. Ku-apply 87,100, mkopo 77,100

HESLB mwogopeni Mungu. Ku-apply 87,100, mkopo 77,100

Kweli nimeamini kwenye vichaa 4 kunakichaa moja bodi ya mikopo vichaa ni wote sasa c bora wangemnyima kbsa 77000 inasaidia nn
 
Ina maana hiyo 77000 ni hela ya mwaka mzima?Haki tena ule utafiti uko sawa kabisa na hayo matumizi yanayobanwa hela zinaenda wapi jamani?
 
nlipigia kura ccm na naipenda ccm ila kwa mwendo huu tusahau nchi ya viwanda tujiandae na nchi ya maskin wa kutupa haiwezekani aliyesema atainua elimu leo anampa msomi wa kutuletea nchi ya viwand tsh 45,000 kwa malazi na chakula kwa mwaka mzima...naona aibu kuvaa sare za cham itafika mda pia hata ntaona aibu kujiita kada wa chama!!!
 
Plus wengne tulitoka makambini yaani jkt mtabila,,, Kigoma hadi Arusha city ni 60000 elfu ongezea hapo
 
Pale unapo'opt push ups badala ya ELIMU! ELIMU! ELIMU!....siyo wewe tu, kuna dogo mmoja kapewa 18,000 kwenye ada.
Mwaka huu wale wamama wanaouza miyogo maeneo ya kuzunguka chuo watapiga pesa sana.
 
nlipigia kura ccm na naipenda ccm ila kwa mwendo huu tusahau nchi ya viwanda tujiandae na nchi ya maskin wa kutupa haiwezekani aliyesema atainua elimu leo anampa msomi wa kutuletea nchi ya viwand tsh 45,000 kwa malazi na chakula kwa mwaka mzima...naona aibu kuvaa sare za cham itafika mda pia hata ntaona aibu kujiita kada wa chama!!!
Sio itafika ndo imeshafika
 
Nimeshasema hapa na kila nikisema watu wananireport kwa mods...
Ngoja nitumia maneno ambayo sio makali ..
Kuwa Juma Maharagwe ni mtu wa visasi na anapenda kuona watanzania wakiteseka yani anafurahi sana moyoni mwake na anajisikia amani sana.....
Hapo hata mkini report kwa mods hawana sehem ya kunikamata
. Shkamoo Tundu Lisu
Hehehe[emoji2] eti juma pumba maharagwe[emoji119] [emoji2]
 
Hii ni fundisho kwa mwaka 2020 usichague tena pushup chagua kiongozi na sio huyu mtu poli
 
Najaribu kufanya hesabu hii rahisi, lakini inashindwa kuingia akilini

Gharama za kuomba Mkopo;
Application 30,000
Internet 2000
Passport 5000
Mahakamani 20,000
Ofisi ya Kijiji 10,000
Printing 5000
Bodaboda 2000
Ems 13100
Jumla 87,100

Mkopo 77,100

Heslb hebu kuweni na huruma japo kidogo kwa sisi watoto wa wakulima[emoji26] [emoji26]
Duuuuuuu [emoji15] [emoji15]
 
na mtaisoma haswa tuliwaambia kuichagua ccm ni laana mkabisha mkapenda pushups haya kazi kwenu
 
Back
Top Bottom