HESLB mwogopeni Mungu. Ku-apply 87,100, mkopo 77,100

HESLB mwogopeni Mungu. Ku-apply 87,100, mkopo 77,100

kichogops

New Member
Joined
Sep 10, 2016
Posts
4
Reaction score
11
Najaribu kufanya hesabu hii rahisi, lakini inashindwa kuingia akilini

Gharama za kuomba Mkopo;
Application 30,000
Internet 2000
Passport 5000
Mahakamani 20,000
Ofisi ya Kijiji 10,000
Printing 5000
Bodaboda 2000
Ems 13100
Jumla 87,100

Mkopo 77,100

Heslb hebu kuweni na huruma japo kidogo kwa sisi watoto wa wakulima[emoji26] [emoji26]
 
1476900164644.jpg
 
Nimeshasema hapa na kila nikisema watu wananireport kwa mods...
Ngoja nitumia maneno ambayo sio makali ..
Kuwa Juma Maharagwe ni mtu wa visasi na anapenda kuona watanzania wakiteseka yani anafurahi sana moyoni mwake na anajisikia amani sana.....
Hapo hata mkini report kwa mods hawana sehem ya kunikamata
. Shkamoo Tundu Lisu
 
Kwenye hotuba yake moja pale UDSM alitishia wanafunzi kuwa mkigoma au mkileta mchezo nawafukuza mkasote mtaani hadi 2019?
Hivi kweli inawaingia akilini kweli?
Hata hizo calculation za elfu 77 hazipo sawa mtu mwingine ametumia laki moja hapo kwa sababu kuna siku ingine mtu anaenda mtandao upo down hapo keshatumia usafiri wa kwenda mjini kwene internet cafe na chakula..
Average mpaka mtu amalize ku apply ni laki na nusu imekatika...
 
It hurts kwa kwel, can u imagine tena bila hata aibu, eti sh 77,100 ndio mkopo kwa mwanafunzi wa chuo kwa mwaka mzima.

Tena mtu mwenye digrii yake aliyeaminiwa kwa niaba ya watanzania anaweka saini eti ndio mkopo aliopata mwanachuo

Nadhani ile nguvu iliyotumika kulaani matukio ya mwalimu Msigwa na Scorpion, zihamishiwe kwenye hili janga, maana maumivu yake yanazidi kile kichapo cha yule mwanafunzi au yale ya kukutana na scorpion
 
Najaribu kufanya hesabu hii rahisi, lakini inashindwa kuingia akilini

Gharama za kuomba Mkopo;
Application 30,000
Internet 2000
Passport 5000
Mahakamani 20,000
Ofisi ya Kijiji 10,000
Printing 5000
Bodaboda 2000
Ems 13100
Jumla 87,100

Mkopo 77,100

Heslb hebu kuweni na huruma japo kidogo kwa sisi watoto wa wakulima[emoji26] [emoji26]
Mkopo 77,100 unamaanisha nn?
 
It hurts kwa kwel, can u imagine tena bila hata aibu, eti sh 77,100 ndio mkopo kwa mwanafunzi wa chuo kwa mwaka mzima.

Tena mtu mwenye digrii yake aliyeaminiwa kwa niaba ya watanzania anaweka saini eti ndio mkopo aliopata mwanachuo

Nadhani ile nguvu iliyotumika kulaani matukio ya mwalimu Msigwa na Scorpion, zihamishiwe kwenye hili janga, maana maumivu yake yanazidi kile kichapo cha yule mwanafunzi au yale ya kukutana na scorpion
Hapo wadogo zangu itabidi tuwatetee kwa nguvu zote mana kwa hela hiyo huwezi soma na kuishi chuo bora ukafanya mambo yako mengine au upate wafadhili
 
uchumi unakuwa kwa kasi

tunabana matumizi

makusanyo kwa mwezi yanaongezeka
 
Back
Top Bottom