mr. loner
Senior Member
- Aug 1, 2014
- 168
- 229
Wakuu Eid Mubaraka. Hakika mwezi huu umekuwa mgumu kwa sisi wafanyakazi, bodi ya mikopo inafyeka mpaka mtu unakosa ufanye nini. Tunaomba mheshimiwa raisi uturudishie ile asilimia angalau tuweze kumudu maisha, kiasi tunachokatwa ni kikubwa mno. Tutaishije?